Skip to main content

Featured

LATEST DEVELOPMENTS ON CARTOONIST OPPTERTUS FWEMA CASE.

  The case of Cartoonist Mr. Opptertus Fwema was scheduled for mention yesterday on 20th September 2022 before Aron Lyamuya  Resident Magistrate of kinondoni at kivukoni Courts. However, the Prosecution side submitted in court that they have no intention to proceed prosecuting the case. Hence, the prosecution entered nolle prosequi under section 91(1) of the Criminal Procedure Act. He was therefore discharged by the court in accordance to the law. However, after getting out of the court chambers, he was immediately arrested again and detained at the Oysterbay Police station for about two hours. His advocate (Shilinde Swedy) managed to obtain his bail and Mr. Fwema was later released after complying with bail requirements and requested to report at the police station again on Friday. Mr Fwema has not been charged with any offence after his rearrest. We encourage all artists to remain calm as his legal team maintains a close followup on this matter.

CINT YATOA TAMKO KUKAMATWA KWA KATIBU WAKE MKUU

 SIKU chache zilizopitwa Katibu Mkuu wa CINT  Innocent Kanyagwa alikamatwa na polisi wakati akiwa katika mazoezi ya mwili nje ya nyumba yake huko Iringa. Taratibu za kukamatwa na yaliyoendelea yametolewa maelezo katika tamko rasmi la CINT.
Pia vyombo vya habari kadhaa vimezungumzia tukio hilo ambalo linaonyesha wazi kile ambacho Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu amekikemea alipokuwa akizungumza na viongozi wa jeshi la Polisi kule Moshi wiki hii.



Comments

Popular Posts